Maisha ya mwanaume

Wazee Wazamani Hawakuwa Na Tatizo Hili Kwasababu Walikuwa Wanaishi Kwenye Mazingira Salama Kuazia Vyakula Vyao,Vinywaji, Madawa Nk. Tofauti Na Sisi Ambao % Kubwa Tunatumia Vitu Vyenye Kemikali Zinazopelekea Kutokea Kwa Tatizo Hili.
Lakini pamoja na hayo bado tuna nafasi ya kuendelea kupata vitu vya asili..ingawa sasa ukionekana unakula hvyo wanakuona kama mshamba......
 
Lakini pamoja na hayo bado tuna nafasi ya kuendelea kupata vitu vya asili..ingawa sasa ukionekana unakula hvyo wanakuona kama mshamba......
Me Nadhani Kwa Walio Vijijini Hilo Halina Tatizo Sana Ila Issue Ipo Kwa Waishio Mjini.
 
Si kweli......
Mzee mwenzangu machache mbona bado ana mudu kukimbia mbio ndefu na vijana....na nishani tunaziona....
Inategemea na uchumi wako......

Kuna vijana wadogo sana....lakini stress za maisha zimewafanya kuwa kama mahanisi......
 
hiyo picha isichochee uzinzi kuongezeka
Msanii katika sanaa hii ametuonyesha uhalisia wa hili tendo jinsi umri unavyo kwenda na sio kuwa anachochea ngono, yakupasa kukubaliana na hilo na kujiandaa kisaikolojia kama bado upo hatua za nyuma!
 
Si kweli......
Mzee mwenzangu machache mbona bado ana mudu kukimbia mbio ndefu na vijana....na nishani tunaziona....
Machache ye anauwezo wa kupanga ale nini ili aishi ki asilia, chochote anachotaka kula katika muda sahihi anapata, sasa sie tusio na machaguo, yaani kama ni bagger ni hilo hilo au broiler au chips ndo utaishia kwenye cycle hiyo tu hamna jinsi!
 
Maaaaaniniaaaa [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Tubadilike mkuu... tuachane na ugali wa sembe na vips daily!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…