Maisha ya Karantini

Maisha ya Karantini

Najaribu kuimarisha afya yangu kwa kupata vinywaji vya moto,kujifukiza n.k
 
You can take online classes...learn new stuff

Hii mambo ikiisha unakuwa mtu mwenye ako na ujuzi mpya
 
You can take online classes...learn new stuff

Hii mambo ikiisha unakuwa mtu mwenye ako na ujuzi mpya
Ushauri mzuri sana,huu muda ukitumika vizuri kuna kitu kipya unapata..binafsi Youtube amekua mwalimu mzuri sana.
 
Tunakula tunashiba tunakaa kijiwe cha kitaa kwa sosho distansi tunaanza kuilaumu serikali
 
Fanya hivi fuata maelekezo basi tofauti na hapo Muachie Mungu.
Mimi na wash water kwenye bag na hand sanitizer kwa bag na kitambaa kisafi na barakoa mbili au tatu au nne.
Siongei ovyo ovyo.
Lakini movement zako zikoje?
 
Back
Top Bottom