kwa hiyo usiku korona inakuwa imechoka halafu ww ndo unatokaNasoma biblia..
Naingia Intelligence Forum kusoma simuliz za kusisimua
Naingia Love konnect kuona watafuta wake/waume
Jion naenda Gym / Jogin
Usiku naenda zangu Flammingo ya Mbuyuni salasala kunywa K Vant Ndogo..
Narud zangu home
kwa hiyo usiku korona inakuwa imechoka halafu ww ndo unatoka
Very nice huogopi kutoka njeeNasoma biblia..
Naingia Intelligence Forum kusoma simuliz za kusisimua
Naingia Love konnect kuona watafuta wake/waume
Jion naenda Gym / Jogin
Usiku naenda zangu Flammingo ya Mbuyuni salasala kunywa K Vant Ndogo..
Narud zangu home
Ndio nini?Tunapiga nyungu
Toka njee mimi natoka njee naenda kula bata hadi nafurahi narudi home .Niko boward mbaya, kila wimbo nao play naona mbaya, series zote hazipand leo
Tunapambana na covid!Ndio nini?