Mkuu Bado unasoma?BOOM LIIKIINGIA TU! πΈ
Wiki ya kwanza: Unakula kuku ππ
Unaagiza bila kuangalia bei. Mambo safi!
Wiki ya pili: Unakula products za kuku β chips mayai, mayai ya kuchemsha n.k. π€£
Wiki ya tatu: Unaanza kula chakula cha kuku β mahindi, makande, ndengu, maharage. π
Wiki ya nne na kuendelea: Unakuwa kuku mwenyewe ππ€£
Unazurura hostel za watu, unauliza βMkuu, umepika?β na ukikosa unakopa hela ya chips! ππ
Lakini ukweli ni huu: BOOM si pesa ya starehe pekee. Kuna maisha baada ya chuo.
Lipa muhimu kwanza, weka hata akiba kidogo, epuka madeni ya anasa na usishindane na watu kwenye starehe.
Usije ukamaliza chuo na degree mkononi, lakini deni la BOOM kichwani! π€£π€£
Wanachuo, BOOM likiingia mfikirie na kesho. Huku campus tunasoma, si kushindana nani atamaliza pesa haraka! ππ
Swali:
BOOM likiingia kwako, huwa linaishi siku ngapi kabla halijaanza kukusalimia kwa mbali? ππ
Kwa siku ama?Bumu tulianza na buku 2 na jero
Ilikuwa kwa sikuKwa siku ama?
Waache vijana wautumie ujana wao vizuri, wameteseka sana kuanzia nursery mpaka form 6, wacha wajipoze, kidogo.BOOM LIIKIINGIA TU! πΈ
Wiki ya kwanza: Unakula kuku ππ
Unaagiza bila kuangalia bei. Mambo safi!
Wiki ya pili: Unakula products za kuku β chips mayai, mayai ya kuchemsha n.k. π€£
Wiki ya tatu: Unaanza kula chakula cha kuku β mahindi, makande, ndengu, maharage. π
Wiki ya nne na kuendelea: Unakuwa kuku mwenyewe ππ€£
Unazurura hostel za watu, unauliza βMkuu, umepika?β na ukikosa unakopa hela ya chips! ππ
Lakini ukweli ni huu: BOOM si pesa ya starehe pekee. Kuna maisha baada ya chuo.
Lipa muhimu kwanza, weka hata akiba kidogo, epuka madeni ya anasa na usishindane na watu kwenye starehe.
Usije ukamaliza chuo na degree mkononi, lakini deni la BOOM kichwani! π€£π€£
Wanachuo, BOOM likiingia mfikirie na kesho. Huku campus tunasoma, si kushindana nani atamaliza pesa haraka! ππ
Swali:
BOOM likiingia kwako, huwa linaishi siku ngapi kabla halijaanza kukusalimia kwa mbali? ππ
Yes kwa sikuKwa siku ama?
Laki 7?Nilifanya unyambilisi,napewa Ada na mazazi then chuo nimepata mkopo 100%
Nilifanikiwa kuwa na jiko la chips chuoni then nikapata jingine mtaani
Mm kidogo kama ww.Nilifanya unyambilisi,napewa Ada na mazazi then chuo nimepata mkopo 100%
Nilifanikiwa kuwa na jiko la chips chuoni then nikapata jingine mtaani
Huwa wanasema boom ni bomu.Lastly ukija mtaani utaanza kivingne mm nilitesa sana na boom ila nilikuwa na vyanzo vingine though nikaja kuwa na small biznez haikufua dafu hata hivyo
Nilifanya unyambilisi,napewa Ada na mazazi then chuo nimepata mkopo 100%
Nilifanikiwa kuwa na jiko la chips chuoni then nikapata jingine mtaani
Boom likiisha mihogo iliyochemshwa inatafunwa pasina chembe ya huruma maeneo ya vyuoni πππ Kabisa mkuu! Linatua kwa kishindo, linapiga mlipuko wa wiki moja, halafu kinachobaki ni moshi na madeni! π€£π£ ::