Maisha ya chuo cha KCMC

Maisha ya chuo cha KCMC

imani_amani

Member
Joined
Oct 2, 2015
Posts
22
Reaction score
1
Wadau rejea kichwa cha habari hapo juu.....
Mimi nmechaguliwa kujiunga na chuo cha kcmc nkasome bsc prosthetics and orthotics...
Kwa walionitangulia hapo naomba ufafanuzi wa kina wa maisha ya pale campus
 
Ni magumu kwa ujumla njoo ujionee bora ucngekuja huku utajuter kjn
 
magumu mdogo wangu hapa kichwa kinaniuma nikikumbuka tarehe yakufungua..
 
Embu nenden shule achen woga. Nani amekuambia kuna chuo maisha marahisi?
 
m nasoma hapo mwaka wa nne kwakifup malaz sio mazuri utastruggle mwaka wa kwanza huo ndio ukwel..
 
Back
Top Bottom