Maisha ya chuo bila mke!


wanchekesha ... uliokuwa unawaona kwa macho wamekushinda sasa hawa usiowaona itakuwaje???? au ndio IMANI ni hakika ya mambo yatarajiwayo?
 
hahahahaha daaaah jembe hata wa kutoka kwenye kinjia cha kutoka library..mpaka kariakoo (time za usiku ) hujang'oa au umekaa bibo mkuu..? kama bibo kwenye shato..mkuu..?? ila kimsingi wengi ni hamna kitu we njoo tu kitaa huku...ingawa hutapata sehemu yenye sampuli nyingi kama ile..Long Live UDSM...!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…