Maisha ya chuo bila mke!

Walioko mitaan ndo wale waliotoka vyuon na niwachaf zaid," between two evils choose the less"
 

Aliyekwambia mwanamke wa kuoa anapatikana chuoni ni nani????
 
kwani uliambiwa mke anapatikana CHUO kikuuuuuuu? Acha kuwa mbulula
 


Nimekupata nashukuru san nimependa ushaur ngoja niwapotezee mpaka ninunue hummer ndo nianze kufikiria kuoa kabla cjanunua gari kali zaid
 

Ulikwenda Chuo kutafuta mke au kusoma? Hebu tulia maliza chuo ndo hayo mengine yatafuata na hao wanawake wako kila sehemu..
 
Kama umeshindwa kumpata ukiwa chuo basi kuna uwezekano mkubwa sana wa kukosa mke mwema unless umkabidhi kila kitu mwenyezi Mungu.Unapokuwa chuo ni fursa pekee ya kutafuta mchumba na ukapata mke mwema kwa sababu zifuatazo.

1.Wakati upo chuo wengi hutegemea boom hivyo hali ya maisha huwa ngumu kwa kuwa wadada wengi wanapenda fedha yule atakayekupenda atakuwa amekupenda wewe kama ulivyo hivyo kuna uwezekano mkubwa akawa mke mwema.

2.Mavazi yako yanakuwa duni na kwa kuwa wadada wengi wanapenda masharobaro atakayekupenda wewe muda huo atazidisha upendo zaidi mara tu utakapomaliza chuo na kupata kazi nzuri.

Ukishapata kazi kila msichana anakupenda wengine wanakuwa wanafuata fedha zako au mafanikio yako tu hivyo kumjua mkweli ni kazi sana ila kwa Mungu hakuna linaloshindikana kwani Adamu hakuchagua mke aliletewa na Mungu.
 
Ulikwenda Chuo kutafuta mke au kusoma? Hebu tulia maliza chuo ndo hayo mengine yatafuata na hao wanawake wako kila sehemu..


thanx for ur best afvice ntazingatis kwa kufunga kufuri kabsa na ufunguo ntatupa kabsaaaaa!
 


Aise! ndo mana naipenda jf ina hata wachungaji wew pastor nefarijka na maneno yako ya mwsho kanisa lako linapatkana wap?
 
Kaka soma kwanza pasua GPA ya uhakika ukitaka endelea Masters utawakuta waliotulia au ukianza kazi utapata mliokuwa nao chuoni ambao nao wametulia kama wewe utaoa na kutulia kwa raha zako.

Sio chuoni tu ndiyo unapata mke, hata utakapoanza kazi unaweza kumkuta nyumba ya ibada, maofisini nk. Achana na maono ya kuku kuona hapa, uwe na maono ya ndege TAI kuona maili kadhaa.
 



watu weny busara kama wew nadhan wachache sn big up san kwa ushaur wako ur my frnd from tiday onward
 
watu weny busara kama wew nadhan wachache sn big up san kwa ushaur wako ur my frnd from tiday onward
Warmly welcome. Mkuu tuko pamoja, tulipitia huko huko,tukatendwa lakini baada ya kugundua faraja ipo kwenye kitabu na kupasua GPA ya uhakika, mkikutana mitaani baada ya wanaowadanganya kuwakimbia utawakuta wamebadilika wameacha umagharibi na kurudi kwenye hali yao ya asili.

Na wengine hufikia hatua ya kutubu na kumrudia Mungu kabisa.
 
aliyekuambia ndoa ni stress ni nani?:yell::nod:


upo kwny ndoa? au bado ucjekuwa na wew ndo walewale tulombion kuangaza macho huku na kule huku tukijitahid kuongozana njia
 

Usikate tamaa, mke si lazma chuo. Mungu hapangiwi. Mungu hacheleweshi wali hawaishi bali hutenda kwa wakati. Endelea kumuomba usiwe na haraka.
 

wewe mdogo wangu CALMAN chukua akili zako changanya na hizo hapo juu, then fanya maamuzi kama mwanaume! naona kama bado una kaharufu ka kichuochuo! ndoa sio mchezo wa ki baba na mama!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…