Maisha ya Cape Town na masahibu ya wenye nchi

Grand west Casino kuna papuchi za kikhosa hatari sana na Warangi rangi wa Belleville... kuna sehemu wanachisa nyama Gugulethu N 21 yule jamaa ijumaa inakua ni hatari totoz za kikhosa ukiwanunulia tu nyama umeng'oa...ila wakhosa ni wazuri aisee harafu utadhani Wavietnam wengi hao kila mtaa wazuri wapo na misambwanda ya kutosha na wanapenda sana gemu na wageni kuliko wenyeji...
 
Kwaio serikali ya huko inawajengea raia wake nyumba na kuwakabidhi blaza una uhakika? Na unachokisema?
Mbona hata Zanzibar Karume alijenga maghorofa ya serikali kwa ajili ya raia kukaa...sio ajabu. Tembea uone mkuu.
 
Grand west Casino kuna papuchi za kikhosa hatari sana na Warangi rangi wa Belleville... kuna sehemu wanachisa nyama Gugulethu N 21 yule jamaa ijumaa inakua ni hatari totoz za kikhosa ukiwanunulia tu nyama umeng'oa...ila wakhosa ni wazuri aisee harafu utadhani Wavietnam wengi hao kila mtaa wazuri wapo na misambwanda ya kutosha na wanapenda sana gemu na wageni kuliko wenyeji...
Ni wazuri mpaka nawaogopa aisee,nimeamua kujichukulia mzimbabwe...Maana wakhosa naweza jisahau nikapiga hats peku maana neema wanazo aisee
 
Hahahaha mkuu upo sahihi,Mimi naishi na warangirangi hapa Retreat? Hawa watu washenzi sana,yani hakuna cha mzee wala kijana wote shenziii

kipindi hicho niliishi pale Mannenberg . warangi rangi hawana akili hata kidogo kuna wale vichaa wa hanover park ,athlone haiderfield na wood stock bila kuwasahau wa salt river . Cape town ni moja atika miji hatari sana .
 
Umewahi kuishi south afrika?
si kweli huu ni upotoshaji,makabila mengi ya SA wanatahiri na wengi wao wanakwenda kutahiriwa wakiwa na umri mkubwa yaani from 16yrs up to 20yrs,kwa hiyo wanafeel uchungu sio kama kwetu tunatahiri hadi mtu ukiwa na 7days!,ni mada nzuri ila facts zisipotoshwe kabisa,ukatili kwa raia wenyeji unatisha (its a violence national)labda na sisi tunaelekea huko huko kwa kuwa ni taifa lenye hasira na visasi.

wakosa uhakika wanatahiri katika huo umri na wale wasiotahiriwa huwa wanaita mangwengwe ndio jina lao.
 
Nipo CapeTown Mwaka wa Kumi na Mbili sasa unaenda kumi na tatu ni zaidi ya mwenyeji kwa sasa...Ni bora kwa mgeni kuishi CapeTown kuliko sehemu nyingine yeyote ile South Africa....Labda uwe diplomat ukaishi ubalozini huko.
Karibu sana SaltRiver (Iam uhlala kasawoti umfula .... umamukele)
 
Ndugu yangu mi nna miaka 2 tu uku na naishi vijijini lkn da watanzania sisi uku mtu ukiwa na view a video tu mtanzania mwenzio anakufanyia mpango wakupige mchomoko.yaani Ndugu yako wa karibu anakumind
Mchomoko ni nini mkuu?
 
Mkuu samahani kwanini baadhi yenu wengi ambao mpo huko mkiludi bongo mnaludi mikono mitupu shida nini wanawaibia au mnakula bata sana?
 
Mkuu samahani kwanini baadhi yenu wengi ambao mpo huko mkiludi bongo mnaludi mikono mitupu shida nini wanawaibia au mnakula bata sana?
Bata nyingi. Ira ukiwa uku unaona mambo ya kawaida. Maisha magumu popote. Ila upatikanaji wa michongo ya kuingiaza pesa uku ni simple . matumizi ni makubwa . kodi tunayolipa uku chumba kimoja kwa bongo uswahili unakodi nyumba nzima
 
Back
Top Bottom