[emoji16][emoji16][emoji16] mkuu haya mambo ya kufi.ra nadhani yameanza siku za karibuni...wakati mimi nasoma sikuwahi kusikiaBoarding inabod uende ukiwa akili ishakomaa maana km bdo mtoto tabu tupu kuna majitu mababe huko ukizubaa utashangaa USHAFILWA
Huwa ni siri sababu ata anaefanyiwa huona aibu kusema[emoji16][emoji16][emoji16] mkuu haya mambo ya kufi.ra nadhani yameanza siku za karibuni...wakati mimi nasoma sikuwahi kusikia
Mkuu hahha ulikuwa muogaa asee.ulikosa Raha za boarding asee....usiku prepo ilikua kibambianaa sanaaMimi nilianzia kusoma day, nikawa natamani sana kusoma boarding... Yaani ile watu wa rika moja mnakaa, mnalala, mnaamka pamoja daah nilikuwa naona hakuna maisha mazuri kama hayo (nadhani kwa sababu nyumbani nilikuwa peke yangu). Nilipohamia boarding aisee wiki moja tu nilichoka...nikawa nawatamania kweli wanaorudi nyumbani
Mkuu hapana kufika nikatabia ka mtuu,Ila kuteswa Kama kawaida utaruka sana kichura,push up....skwatii....kubebaa mziga aka tranka lako juu,Ila ukishakuwa kichwa gumu Raha sanaBoarding inabod uende ukiwa akili ishakomaa maana km bdo mtoto tabu tupu kuna majitu mababe huko ukizubaa utashangaa USHAFILWA
Mimi sikuwa na mambo hayo kabisa yani...nilimesoma boarding form three na form four hata sikuona raha yakeMkuu hahha ulikuwa muogaa asee.ulikosa Raha za boarding asee....usiku prepo ilikua kibambianaa sanaa
Mkuu ulikua international Ni skul Nini?maana huku kwetu kajamba Nani ilikuwa Raha Sanaa,,ubwabwa kwa mwezi Mara mojaa,nyama mpaka ng'ombe washule akaribie kufaa,sa wahuni walimlisha ng'ombe malailoni ili wale nyamaMimi sikuwa na mambo hayo kabisa yani...nilimesoma boarding form three na form four hata sikuona raha yake
Mkuu hapo umeongea mambo ya kubambiana. Yalikuwepo yote ila mimi nimejibia hiyo segment ya kubambiana tuMkuu ulikua international Ni skul Nini?maana huku kwetu kajamba Nani ilikuwa Raha Sanaa,,ubwabwa kwa mwezi Mara mojaa,nyama mpaka ng'ombe washule akaribie kufaa,sa wahuni walimlisha ng'ombe malailoni ili wale nyama