Maisha popote bana au sioooo????

Tuacheni majungu bana kuna watanzania wengi sana ulaya wanafanya kazi za kishenzi sana hao hamsemi na wala wao hawasemi unakuta kna mtanzania yupo sokoni anauza viwembe au majani ya maboga na ndo ana elimu yao-haya maisha tu huyu jamaa na huyo anayeuza maindi ni watu tu ka sisi wako katika kutafuta riziki-kwani kuna mtu kakataza wewe usiende pembeni yake kuuza mahindi...tuache hizi bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…