Maisha popote bana au sioooo????

wengine wapelezi!

jichanganyeni tu!
 
Heh ukute CIA huyu...it's abnormal mzungu kubeba zege na cement Africa
 
Mwenzenu anapiga tizi Nyie ndio mnapata Mada ya kujadiri... Dah ngozi nyeupe kweli mnajua kutuvuruga
 
mbona wahindi kibao wazibua vyoo huku uswahilin, hao watu unawanyenyeka ww lkn wakiingia anga zangu wanajuta!
 
hapo ni tabora kuna hotel inaitwa frankman palace karibu na uwanja wa ally hasan mwinyi
 
Kama ni mmiliki namsifu sio unakaa hujui hata uchungu wa kazi ukoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…