Maisha PLUS 2016 yaja kivingine.

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,584
Reaction score
28,740
Mashindano ya Maisha Plus ambayo yamefahamika kwa kuwa na uhalisia zaidi yamerudi katika awamu nyingine tena.


Majaji wa shindano hilo, Masoud Kipanya na Kaka Bonda

Msimu huu mpya tutegemee ushindani mkubwa zaidi kutokana na wigo wa mashindano hayo kuwa kujikita katika nchi 5 za Afrika Mashariki ambazo ni Kenya,Uganda,Rwanda,Burudi na wenyeji Tanzania.


Usaili wa Mtwara ulivyokuwa

Maisha Plus 2016 itakuwa inaruka katika runinga ya Azam Two kuanzia saa 3:00 usiku mpaka saa 4:00 usiku Na usahili ulianza June 4, mkoani Mtwara.



Mashindano hayo msimu huu yamekuja na donge nono kwa mshindi kwani atajinyakulia kitita cha shilingi za kitanzania milioni 30.
 
Masoud Kipanya ni nyumba ya ubunifu.Hakosi kuleta jipya la kufurahisha!
 
Naya fananisha mashindano haya na series ya AMERICAN GRIT chini yani mtu mzima JOHN CENA, japo kua AMERICAN GRIY iko more advanced balaa bonge moja la series,
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…