Mkuu hapo wako kwenye usaili katika kambi moja iringa na nyingine zanzibar ambapo wanatafuta vijana kuminasaba watakao ingia kijijini in a disclodes location maeneo ya pwani so baada ya usaili itaanza rasmi

Ni vijana 18 ndio wanao tafutwa kutoka hivyo vijiji then watajiunga na wenzao 12 kutoka KE,UG,RW na BUR (kila nchi kutoa wa 4) then wataenda kijiji cha maisha plus wataungana na Mama shujaa wa chakula ambao watakuwa 30.