Maisha Ni vle unavyoishi Hakuna la zaid Ni vle unavyoish yakupasa iwe mbishi!.Na kuhusu uhai labda Hapo wanamaanisha life xpectance. Sku znavyozd kwenda Inasemekana umri Wa maisha ya kuishi binadamu unapungua kwa kadri sku AMA miaka inavyjongea.
I don't know... Nadhani nakua sina muda kama zamani. Pia kiwango changu cha subra kwa wana JF kimepungua sana, nahisi ni kupoteza muda kujadili hoja maana wengi hatuchelewi kuporomosha matusi au maneno machafu.