Maisha ni safari

Siku zote kwenye maisha, usiweke matarajio au matumaini kutoka kwa binadamu hata awe mzazi wako au mtoto wa kumzaa.
Utaumia moyo ujute, kama unajipenda fanya wajibu wako kisha endelea na maisha mengine. Hata kama ikiwa ni wajibu wako kulipwa au kutumzwa acha ije kama sapraizi. Ikitokea isivyo utajaa chuki na hasira hatimaye uzeeke kabla ya umri wako.

Safari ni hatua.
 
Kwahiyo lile andiko linalosema 'alaaniwe amtegemeaye ndugu yake' ndo umelidhihirisha hapaa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…