Muuza simu used JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 4,393 Reaction score 7,107 Dec 6, 2017 #1 Maisha ni kama mchezo wa riadha yaani pale unapoona wenzako wanakata tamaa ndio fursa yako yakushinda ukiongeza juhudi,ooh maisha magumu!kwahiyo tujifungie ndani tusubiri kufa au tupambane na hali zetu!
Maisha ni kama mchezo wa riadha yaani pale unapoona wenzako wanakata tamaa ndio fursa yako yakushinda ukiongeza juhudi,ooh maisha magumu!kwahiyo tujifungie ndani tusubiri kufa au tupambane na hali zetu!
reyzzap JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 6,828 Reaction score 21,938 Dec 6, 2017 #2 Na kipind hiki hiki kila mtu analia njaa ndo cha kutokea
Jitu jeusi JF-Expert Member Joined Oct 18, 2015 Posts 1,722 Reaction score 2,401 Dec 6, 2017 #4 Kwenye maisha huwa hatushindani... ila riadha watu huwa wanashindana.... maisha n kusaidiana mkuu
radicals JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 4,411 Reaction score 6,496 Dec 6, 2017 #5 ni kama mchezo wa BIKO