francis kibiki
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 476
- 521
asante mkuupole kijana kwa kukata tamaa.
inaonekana bado mvulana
yan hapo dem unamiliki huku na hela unazisaka. sasa ukizipata ukiwa na miaka 79 utafaidi nn sasa.
uskate tamaa pigana hadi tone la mwisho labda kama humpendi
Mkuu hakuna raha kma unatafuta pesa alafu kuna mtoto mzuriii anayekupa faraja aisee usimuache tafuta pesa uku ukiwa naye unaweza kuja kuzipata pesa ukiwa na miaka35 alafu nguvu za kiume zimepungua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaisi kuna demu atakuelewa na pesa zako watakuwa wanakuzuga tu wale pesa zako ila uyoo uliyetoka naye mbali atakuelewa na kukushauri ufanyajeWadau nimeamua kubaliana na hali halisi, nampenda ndio ila ngoja nitafute pesa kwanza maswala ya mahusiano niweke kapuni kwanzaa, ni mwanamke ambae nampenda sana ni mzuri sana sijawai ona mwanamke mwingine zaid yake ila kila nikifikilia naonaa ntakimbiwa then niumie mim , wenye magar na pesa zao naona wanafukuzia sana bi dada nakupenda sana ila naona nimelima shamba la miwa katikati ya shule aiseee