Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,442
- 12,710
- Thread starter
- #21
Moto wa kifuu!Kamba
Moto wa kifuu!Kamba
Ni mlango gani hasa ukikubana unaumia kupita maelezo?Angalia miti, angalia ndege, angalia mawingu, angalia vyote na kama unamacho ya kuona, utaona jinsi maisha yetu ni kitu kimoja. Asili haifanyi haraka, lakini kila kitu kinakamilika. Maua hayafikilii kushindana na ua lilo kando yake. Yanachanua. Ishi kwa misimu.
Kunawakati wa kupanda, wakati wa kuvuna, na wakati wa kupumzika. Heshimu mzunguko wa maisha yako... Mjusi na tafakari.
Umevuta Arusha au umeonja chimpumu?Ni mlango gani hasa ukikubana unaumia kupita maelezo?
A. ZANZIBAR DOOR
B. MNINGA
C. GETI
We si mjusi mkuu? Unakwepaje kubanwa na mlango?Umevuta Arusha au umeonja chimpumu?
Mjusi wa kisasa huu, usinichukulie poa!We si mjusi mkuu? Unakwepaje kubanwa na mlango?
Hakika mkuu.