Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,442
- 12,709
Angalia miti, angalia ndege, angalia mawingu, angalia vyote na kama unamacho ya kuona, utaona jinsi maisha yetu ni kitu kimoja. Asili haifanyi haraka, lakini kila kitu kinakamilika. Maua hayafikilii kushindana na ua lilo kando yake. Yanachanua. Ishi kwa misimu.
Kunawakati wa kupanda, wakati wa kuvuna, na wakati wa kupumzika. Heshimu mzunguko wa maisha yako... Mjusi na tafakari.
Kunawakati wa kupanda, wakati wa kuvuna, na wakati wa kupumzika. Heshimu mzunguko wa maisha yako... Mjusi na tafakari.