mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,288 Reaction score 6,191 Feb 5, 2018 #2 Hizo ndo bangi sasa unaanza kumimina lenta ndo uje jenga msingi
terasy JF-Expert Member Joined Apr 11, 2013 Posts 481 Reaction score 134 Feb 6, 2018 #4 Akijua kusoma na kuandika si haba
pingli-nywee JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 11,923 Reaction score 13,355 Feb 6, 2018 #5 Hapo kiranja darasani akichapia majina ya wanaopiga kelele, jina la mzee kamwe hutaliona kwenye kijikaratasi! Mzee amekauka zaidi ya Bruce Lee! πππ Afu sura ndo ya Jet Li!
Hapo kiranja darasani akichapia majina ya wanaopiga kelele, jina la mzee kamwe hutaliona kwenye kijikaratasi! Mzee amekauka zaidi ya Bruce Lee! πππ Afu sura ndo ya Jet Li!