Maisha matamu sana pale.....

Maisha matamu sana pale.....

Bongo unashabikia Simba wekundu wa msimbazi

England unashabikia Chelsea

Ureno Benfica

Hispania Barcelona

Italy Juventus

Siasa Chadema

Msosi unaopenda ndizi nyama

Mziki hip hop

Unatumia devices za Samsung

Kinywaji Serengeti

Mama /baba watoto mhaya

Soda mirinda nyeusi(fruto)

Jukwaa la JF jokes,photos

We unaona maisha matamu pale????

Khantwe utafiti@Heven on Earth Heaven Sent Excell@mshana jr miss neddy tumboo illuh kiwatengu Ntuzu First Born MO11@valentine Madame B

Maisha matamu sana pale
1.Mungu anapokuwa kiongozi wa maisha yangu.

2 shansarie anapokuwa mke wangu!! only that...
 
Last edited by a moderator:
Me maisha yanakuwa matamu sana ninapokuwa na amani ya moyo. Nikiwa na furaha mbona shida zote zinasahaulika kwa muda huo
 
maisha matamu pale unapozungukwa na watu wanakupenda na kupendana....
 
maisha matamu ukiwa na uhakika kesho utakula nini
maisha matamu pale unapompata akupendae kwa dhati bila unafki.
 
maisha matamu sana pale....unapo amka asubui na kupokea cm kutoka kwa mdeni wako sugu kwamba.ile hela yako amekuwekea kwenye account yako.
maisha yana kuwa mazuri....pale ambapo baada ya kutafta mtoto kwa mda mrefu.unarudi jioni mke anakwambia anahisi ujauzito na kwenda kwa dokta unaambiwa kweli.
 
Back
Top Bottom