Maisha maishani

TYPIN ERRAH

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
43
Reaction score
24
Jamani tupeani connection za kusaidiana maisha sasa ni magumu sana lakin kuna watu tukisema maisha magumu mnahisi ni ndoto jaman tusaidiane watu wakati mwingine tunadhalilika kwa vitu vidogo sababu ya pesa tu..... Tufundishane jinsi ya kuvua samaki kuliko kupeana samaki
 
Umemaliza bro.... pambana na hali yako kwa hasira mzeee no one is coming futa hizo mqmbo kwa kichwa komaa tafuta hizo sjui ndo connection sjui ndo nn we komaa tu dunia ishavua nguo kitambo sana its survival of the fittest.. kama uko weak dunia inakutupa kule af yenyewe inaendelea tu kama hukuwepo vile duniani
 
Get connected to the universe via God. Utakuja kunishukuru baadae.


Siku zote Mungu huwa yupo karibu sana na wale ambao wapo rejected, ignored and laughed. Yeye ndio huwa mfariji wao.

Msaada wa mwanadamu ni wa muda tu, na hata akikusadia temegea lawama, dhihaka, matangazo..etc
 
Tufundishane jinsi ya kuvua samaki kuliko kupeana samaki
Ndugu wengi wangekuwa na akili kama yako familia nyingi zingepiga hatua. Wengi wanataka uwape samaki tena kuna wengine ukiwapa mbichi watasema mbona hujampika?.🤣 Ukimwambia twenzetu tukatafute maendeleo atasema leo kuna mechi ya Yanga na Simba😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…