Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,734 Jun 24, 2016 #2 Daah...😵
souljah meditater JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 2,146 Reaction score 2,104 Jun 24, 2016 #3 Dah hiyo picha inaongea maneno zaidi ya 1000 na inanipa maswali mengi ya kujiulizam mfano.. Je hilo ni kabuli la ndugu yake? au yupo tu maskani amepozi baada ya kumoka mambo yake?
Dah hiyo picha inaongea maneno zaidi ya 1000 na inanipa maswali mengi ya kujiulizam mfano.. Je hilo ni kabuli la ndugu yake? au yupo tu maskani amepozi baada ya kumoka mambo yake?
Quinton Canosa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 1,228 Reaction score 1,264 Jun 24, 2016 Thread starter #4 Usedcountrynewpipo said: Daah...😵 Click to expand... kaka vipi
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,734 Jun 24, 2016 #5 Acapulco said: kaka vipi Click to expand... Nasikitika tu hapa!
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,574 Reaction score 12,318 Jun 24, 2016 #6 Tuliambiwa tutaisoma namba kuna wengine walifikiri watakaoisoma ni wasomali
inembe JF-Expert Member Joined Sep 7, 2015 Posts 306 Reaction score 189 Jun 24, 2016 #7 Dah! kweli tukiendelea hivi, kazi hipo, na apo kwa wapangaji tra aijafika huko
G Gojaga Nize JF-Expert Member Joined Jul 1, 2015 Posts 3,177 Reaction score 2,549 Jun 24, 2016 #8 Hata kama si Leo Ila hii laana itakula kichwa watu Fulani fulani
Jane Lowassa JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 5,008 Reaction score 9,209 Jun 24, 2016 #9 Sasa maisha magumu nini na kulala makaburini?
Wong Fei JF-Expert Member Joined Apr 13, 2016 Posts 5,536 Reaction score 7,294 Jun 24, 2016 #10 ngoja tuisome namba. Hatuna namna
Quinton Canosa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 1,228 Reaction score 1,264 Jun 24, 2016 Thread starter #11 Jane Lowassa said: Sasa maisha magumu nini na kulala makaburini? Click to expand... Jane Lowassa said: Sasa maisha magumu nini na kulala makaburini? Click to expand... Jane mambo magumu aisee ww unafikiri amelala kapenda?
Jane Lowassa said: Sasa maisha magumu nini na kulala makaburini? Click to expand... Jane Lowassa said: Sasa maisha magumu nini na kulala makaburini? Click to expand... Jane mambo magumu aisee ww unafikiri amelala kapenda?