bartenderznz
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 398
- 195
ha ha ha mpk moto kabisa kweli mahaba niuenamuomba jamani nimlee nyie endeleeni kuchepuka hadi nyeti ziwake moto
Jina la bwana libarikiwe sanaMalezi ya baba na mama ni muhimu kwa makuzi ya ntoto,hii mimi imeniathiri sana mama kaniacha nina mwaka mmoja na 1\2 kwa baba, baada ya pale nikachukuliwa kulelewa na babu hakika upendo wa dhati kwa wazazi wangu haupo kwani nimekuja kuonana na mama nikiwa na 16 yrs baba nikiwa 23 yrs
You had have already, boss!is there any Engineering support I could contribute in a thread like this???
No.
Chief Eng.
NotedMalezi ya baba na mama ni muhimu kwa makuzi ya ntoto,hii mimi imeniathiri sana mama kaniacha nina mwaka mmoja na 1\2 kwa baba, baada ya pale nikachukuliwa kulelewa na babu hakika upendo wa dhati kwa wazazi wangu haupo kwani nimekuja kuonana na mama nikiwa na 16 yrs baba nikiwa 23 yrs
Oh poleh sana jmn, hakikisha wanao unalea mwenyewe mana ushajua umuhimu wakeMalezi ya baba na mama ni muhimu kwa makuzi ya ntoto,hii mimi imeniathiri sana mama kaniacha nina mwaka mmoja na 1\2 kwa baba, baada ya pale nikachukuliwa kulelewa na babu hakika upendo wa dhati kwa wazazi wangu haupo kwani nimekuja kuonana na mama nikiwa na 16 yrs baba nikiwa 23 yrs
Wamama no matter what msiache watoto! Kunakuwa hamna bond kabisa. Asante sana mwanangu naamini hii ni kutokana na bond iliyopokati yangu na wewe!Malezi ya baba na mama ni muhimu kwa makuzi ya ntoto,hii mimi imeniathiri sana mama kaniacha nina mwaka mmoja na 1\2 kwa baba, baada ya pale nikachukuliwa kulelewa na babu hakika upendo wa dhati kwa wazazi wangu haupo kwani nimekuja kuonana na mama nikiwa na 16 yrs baba nikiwa 23 yrs
Malezi ya baba na mama ni muhimu kwa makuzi ya ntoto,hii mimi imeniathiri sana mama kaniacha nina mwaka mmoja na 1\2 kwa baba, baada ya pale nikachukuliwa kulelewa na babu hakika upendo wa dhati kwa wazazi wangu haupo kwani nimekuja kuonana na mama nikiwa na 16 yrs baba nikiwa 23 yrs
is there any Engineering support I could contribute in a thread like this???
No.
Chief Eng.
INAWEZEKANA KABISA IPO MIFANO MINGI SANA HAI.HATUSEMI TU..UNAKAA MIAKA MPAKA SITA MZAZI HUJUI YU WAPI.ACHA KABISA..TUNALETA MASIHARA SANA FAMILIA KWA KISINGIZIO CHA KUSAKA MAISHA.HAKUNA JAMBO BAYA KAMA USIIKIE WENZAKO WANASIMULIA WAZAZI WAO MAKWAO WEWE HUJUI UANZIE WAPI...NA BABA YAKO AU MAMA YAKO NA WOTE WAPO HAI...Ina mana baba/ mama yako hawakuwa wanakuja kumsalimia huyo babu (mzazi wa mmoja wapo) miaka yote hiyo?
Unatafuta nini mamii?namuomba jamani nimlee nyie endeleeni kuchepuka hadi nyeti ziwake moto