Nasoro Namuchi
Member
- Nov 23, 2018
- 58
- 47
ndgu wana jf....sijafanikiwa ila naamini nitafanikiwa si muda mwingi. Kwa walofanikiwa kwa kiasi, munatupa ushauri gani ili ufanikiwe? au nin unapaswa kufanya ili kutimiza malengo yako ya maisha? NAKALIBISHA MAONI ILI NIYAFANYIE KAZI.