Naomba uniunganishe na huyo ndugu yako ili anipe connection ya hayo mambo ya kiroho. Haya maisha bila kujitoa na kujizima data utajikuta unaendelea kuwa pale pale kila siku.
Mkuu haya mambo haya ...
Mi kuna ndugu angu mmoja ni ana mpunga kweli lakini sasa kuna mambo anafanya ya kiroho mmh huwa naheshimu sana watu na pesa zao
Naomba uniunganishe na huyo ndugu yako ili anipe connection ya hayo mambo ya kiroho. Haya maisha bila kujitoa na kujizima data utajikuta unaendelea kuwa pale pale kila siku.
Naomba uniunganishe na huyo ndugu yako ili anipe connection ya hayo mambo ya kiroho. Haya maisha bila kujitoa na kujizima data utajikuta unaendelea kuwa pale pale kila siku.
Mkuu kabla hujafika huko em Waza Kwa kina juu ya hilo.
Kuna siku niliwaza kufanya tukio kubwa Sana la mambo ya kiroho Kwajili ya utajiri lakini nafsi iliniambia acha upumbavu wewe Ni mtafutaji na sio mshirikina.