Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,091
Bado haujasema, hata ndinga kali haziendeshwi na wasomi, zinakokotwa na wahuni tu wanaojuwa kumanipulate mfumo.👉Wanasoma journalism miaka mitatu wanakuja kuajiriwa watu wanaojua kuropoka na kuongea mada za udaku ambao ni fomfour failure
👉Watu wanasoma masomo ya biashara Chuo lakini matajiri wanakuja kuwa darasa la saba walioanza na vibiashara tu baada ya kufail darasa la saba
👉Watu wanasoma diplomasia na sheria lakini wanakuja kuwa wanasiasa watu wanaojua kubishana na kusifia tu ambao hawana elimu yoyote bali kuandika na kusoma
👉Watu wanasomea Muziki, na video production lakini madirector na wasanii wakubwa wanatoka mtaani wanakuja kuwa wakubwa
Hii haiko fair , ithamini sana talent yako
Mwanangu Ebu punguza ukali wa 🤣🥶maneno yako Yanachoma sana umenikumbusha siku moja Rafiki angu yeye Ana elimu ya grade ya ualimu Yani certificate tu Hana Ata diploma lakini nimekaa nae akaja jamaa mmoja hivi mwenye degree tena Kaja na baiskeli Kaja kumkopa mwenzie milion kadhaa akajiendeleze na masters degree mwenzie certificate Ana magari mawili na nyumba kibao mjini🥶kuna ukweliLife doesn't follow the blueprint of a syllabus.
Usijiwekee mentality ya kwamba ukisoma utakuwa na maisha mazuri kuliko ambaye hajasoma.
Life will hit you hard.
Yan watu wa kawaida wanakuja kufanya vitu vikubwa ambavyo hatujavitarajiaKwenye maisha kuna kitu huitwa
"Area of shining"
Unaweza kusoma ualimu Ila ukawa star kupitia kuchoma nyama
Na aljyesomea upishi wa kuchoma nyama akawa star kupitia kufundisha.
wazungu huwa wanatabia ya kufanya sparking kwa watoto wao wakiwa bado wadogo.
Hawajitafuti Sana watoto wao.
Hao journalist waropakaji ambao hawajaenda shule wapo sahihi ndo maana wanaonekana maana Kama kuropoka tu ingekuwa ndo njia ya kuwa journalist watu wangeropoka Sana .
kaka unavoenda vitani unatakiwa ubebe dhana inayoendana na adui yako, elimu ni dhana ya kupambana na ujinga sio umaskini
Ndio maana wanasema somea kitu ambacho una connection👉Wanasoma journalism miaka mitatu wanakuja kuajiriwa watu wanaojua kuropoka na kuongea mada za udaku ambao ni fomfour failure
👉Watu wanasoma masomo ya biashara Chuo lakini matajiri wanakuja kuwa darasa la saba walioanza na vibiashara tu baada ya kufail darasa la saba
👉Watu wanasoma diplomasia na sheria lakini wanakuja kuwa wanasiasa watu wanaojua kubishana na kusifia tu ambao hawana elimu yoyote bali kuandika na kusoma
👉Watu wanasomea Muziki, na video production lakini madirector na wasanii wakubwa wanatoka mtaani wanakuja kuwa wakubwa
Hii haiko fair , ithamini sana talent yako
Mkuu acha tuuu....Despline 🙅🏽 ( Mzee wangu Father Leo kaandika hivi , alinambia we need to be attentive and embrace despline.
Discipline√
Mkuu maana yake kuwa na nidhamu ya hali ya juuDiscipline ya hali ya juu inakuaje mkuu?
Mkuu, ulichoandika kinadhihirisha maisha yapo fair kabisa.Wanasoma journalism miaka mitatu wanakuja kuajiriwa watu wanaojua kuropoka na kuongea mada za udaku ambao ni fomfour failure
Watu wanasoma masomo ya biashara Chuo lakini matajiri wanakuja kuwa darasa la saba walioanza na vibiashara tu baada ya kufail darasa la saba
Watu wanasoma diplomasia na sheria lakini wanakuja kuwa wanasiasa watu wanaojua kubishana na kusifia tu ambao hawana elimu yoyote bali kuandika na kusoma
Watu wanasomea Muziki, na video production lakini madirector na wasanii wakubwa wanatoka mtaani wanakuja kuwa wakubwa
Hii haiko fair , ithamini sana talent yako
Kuna siku moja nikamuuliza boss mmoja hivi kwanini Kila muhula mnatangaza internship akanambia wanakwepa NSSF na kodi kadhaa, kwahyo hawa ajili sana wenye Profesional wanataka mtu mwenye njaaa na pesaMkuu, ulichoandika kinadhihirisha maisha yapo fair kabisa.
Maisha yanawapa fursa wasomi & wasiowasomi, bt kubweteka kwa baadhi ya wasomi kunawafanya wawe na mitizamo kama hii.
Watu ambao hamjasoma mnajifariji sana aisee...
Nmekupata ovahatari sana, duniani wanasema maisha hayana kanuni moja.