Maisha hayaitaji kukurupuka kama MGAMBO JKT usijisahau kama YANGA jipange na kutafakari wapi umekosea na ufanye nn kama SIMBA uwe na mipango endelevu kama AZAM FC uwe makini kama MBEYA CITY
CC mashabiki wa Simba;Yanga;Mbeya city;Azam
heri na mimi nitumie hi fursaumetumia fursa
hongera
vere stretigiki .....
Mkubwa kura yako itakuwa muhimu sana mchakato ukianza..
chagua shansarie miss chit chat 2013