Maisha haya kweli hakuna anayeijua kesho yake

Acha kumtetea mkuu. Alidhuru wengi sana. Kiujumla hakuna mizania yoyote.
 
Umesahau sasa hivi Tz hamna mwenye njaa wote tuna ajira na tunafaidi nchi ya maziwa na asali.
 
umesomeka vema kiongozi yawezekana huu ukawa ujumbe bora kabisa kwa hii wiki.
 
siku 100 ni nyingi mno.

bado lockdown haiko mbali nayo inatakiwa iwe imetokea kabla ya siku 150.
 
Actually kesho yako unaijua kutokana na unachofanya leo....

Wewe kunywa pombe leo, kesho lazima utaamka na hangover...
Ukichumia juani kuna uwezekano utalia kivulini (ingawa sio guarantee)...

Kuhusu kifo ni inevitable wote tutakufa (yaani kesho yetu wote eventually ni kifo)

Moral of the Story Live your Today...., Na mara nyingi ukipanda mchicha utavuna mchicha hata kama bangi zikiota basi ujue kuna mdau kafanya hujuma....
 
Mkono wa mkwere huo..


Hii furaha tutailipia kivingine tu...



Timu imefufuka upyaaaa...

Baniani mbaya kiatu chake dawa wanasema....
 
Samia na ccm mbele kwa mbele
Ccm ya haki! Hii ndiyo tuliyoisubiri kwa miaka dahari,angalau leo tunaanza kuona machweo baada ya kiza kinene cha miaka na miaka,ccm mpya hoyeeeee,wachumia tumbo tunawachora tu,hongera Mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…