Maisha halisi...

Yes, haya ni maisha halisi, tena ni zaidi ya 60% ya watanzania au 90% ya watanzania tuishio huku vijijini
 
sijui nifanyeje kumkomboa mtanzania wa aina hii anayedanganywa kutoa kura kwa sisiemu ccm kila wakati na maisha yake hawayabadilishi....Mungu wasaidie watu wetu hawa! maisha bora kwa kila mtanzania ni kwaajili ya watu wepi sasa, walioko mjini maisha magumu, kijijini ndo usiseme.
 
ngoshwe;93anayozlisha pamoja na mifugo yake inatumika kumjengea Gavana wa benki kuu palace inayoghalimu mabilioni ya [URL="http://nienga.blogspot.com/" said:
NIENGA[/URL]


Haya ndio maisha halisi ya mtanzania wakati kodi anayolipa kutokana na mazao na mifugo yake inatumika kumjengea Gavana wa benki kuu jumba linaloghalimu mabilioni ya shilingi!! Je viongozi wetu wana akili kweli?
 
Asante sana! masikini watanzania cjui lini masihi wao atawakomboa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…