Maisha chini ya chama kimoja cha siasa yapoje?

Maisha chini ya chama kimoja cha siasa yapoje?

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
516
Reaction score
815
Wakuu habari za muda huu!

Tukiwa tunapokea matokeo kutoka sehemu mbalimbali ya Tanzania, ikionyesha CCM inashinda kila mahali kwa kura nyingi sana.

Mimi ni kijana nilizaliwa (1995) nilikuta mfumo wa vyama vingi vya siasa, katika somo ya Civics nimesoma kitu kimoja kinaitwa check and balance. Natafakari hapa maisha ya chama kimoja yatakuwaje.

Sina hakika kama kutakuwa na mbunge wa CCM anaweza kuikosoa serikali yake kwa utawala huu.

Ubeze usibeze upinzani una umuhimu wake katika kujenga taifa hasa katika kuibua maovu yanayofanywa na serilikali.

Naombeni mloishi miaka ya nyuma kidogo maisha ya chama kimoja yapoje nijiandae kuyapokea.
 
Walioaribu ni wapinzani wenyewe kwenye mambo mengi sana,mfano:.
a) kupinga na kubeza kila jambo zuri la mandeleo.
b)Covid-19 ni pigo moja baya sana kwa wapinzani kubeza msimamo wa JPM.

c)kuonyesha dhahiri kwamba wao wanawategemea zaidi watu kutoka nje kuliko watanzania,yani jambo dogo tu eti "Armstadam kasema" mara "Armstadam kamuandikia barua Rais Magufuli"

Sasa kwa hali iyo ni bora watanzania tuongozwe na chama cha CCM mpaka utakapo patikana upinzani wenye vyama vyenye kujielewa vitakavyo shiriki kwa dhati kwenye kuijenga nchi na si kususasusa Bungeni na kubeza kila jambo la maendeleo.
 
Wakuu habari za muda huu!

Tukiwa tunapokea matokeo kutoka sehemu mbalimbali ya Tanzania, ikionyesha CCM inashinda kila mahali kwa kura nyingi sana.

Mimi ni kijana nilizaliwa(1995) nilikuta mfumo wa vyama vingi vya siasa, katika somo ya Civics nimesoma kitu kimoja kinaitwa check and balance. Natafakari hapa maisha ya chama kimoja yatakuwaje.

Sina hakika kama kutakuwa na mbunge wa CCM anaweza kuikosoa serilikali yake kwa utawala huu.

Ubeze usibeze upinzani una umuhimu wake katika kujenga taifa hasa katika kuibua maovu yanayofanywa na serilikali.

Naombeni mloishi miaka ya nyuma kidogo maisha ya chama kimoja yapoje nijiandae kuyapokea.
 
TUlisema utakuwa uchaguzi wa mpenda haki na mpenda Dhuruma.

Dhuruma imeishinda haki.
 
Yapo poa tu! Haraka za nini kijana utayaona tu kama utakuwa hai maana hata ajira hakuna.
 
Maisha yamekuw aya kinyanyasaji mno, uchaguzi umekuwa na wizi wa wazi wazi maboksi kuibiwa.....tunaelekea kuwa zimbabwe sasa,
 
Chama tawala wakati wanapanga maendeleo bungeni, wao walitoka nje kupinga maendeleo hayo na sasa ni wakati wao wa kufatilia bunge kwenye vyombo vya habari
 
  • Thanks
Reactions: len
Walioaribu ni wapinzani wenyewe kwenye mambo mengi sana,mfano:.
a) kupinga na kubeza kila jambo zuri la mandeleo.
b)Covid-19 ni pigo moja baya sana kwa wapinzani kubeza msimamo wa JPM.

c)kuonyesha dhahiri kwamba wao wanawategemea zaidi watu kutoka nje kuliko watanzania,yani jambo dogo tu eti "Armstadam kasema" mara "Armstadam kamuandikia barua Rais Magufuli"

Sasa kwa hali iyo ni bora watanzania tuongozwe na chama cha CCM mpaka utakapo patikana upinzani wenye vyama vyenye kujielewa vitakavyo shiriki kwa dhati kwenye kuijenga nchi na si kususasusa Bungeni na kubeza kila jambo la maendeleo.
Nitajie maadui watatu wa taifa la Tanzania.

1.
2.
3.
 
Back
Top Bottom