Maisha bwana, anataka nimuoe bila kumuonja

Maisha bwana, anataka nimuoe bila kumuonja

We uliona wapi ndizi inaliwa bila kumenywa, ndio story anazoniletea huyu binti,

Ata sijammenya bado ananiletea story za kumuoa na kwenda kujitambulisha kwao,
Yuko serious kweli, mi namtazama tu.

Ata sijaonja anataka nimuoe, anafikiri mi kiande, nioe nikakutane na bwawaa la mtera



[emoji23][emoji23]
Nayeyuka kiwendawazimu.

Cc Zero IQ

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Ukute ana mashine zote mbili, ya Ke na Me, na zote zinafanya KAZI 🙄
 
Back
Top Bottom