Maisha bora kwa kila mtanzania!!!!!!!!

Maisha bora kwa kila mtanzania!!!!!!!!

Joined
Dec 20, 2012
Posts
70
Reaction score
31
wewe.jpg
??????????????
 
Watanzania tungeamka tukajifunza kutokana na makosa ya chaguzi. Kwann tunaendelea kuwapa madaraka hawa walio shindwa kuletea wananchi wao maendeleo?
 
na hapo bado,watakula nyasi kama alivyosemaga maramba,si wanajifanya hawasikiii?ngoja watakoma
 
Bora maisha kwa kila Mtanzania...
 
Watz tunaongoza kwa kelele muda mwingine tunashidwa kufanya kazi tunabak kulalama tuu serikali haiwezi toa ajira kwa watu wote, imefika muda tujitambue tutumie kila mtu rasilimal aliyo nayo ili ajikwambue "community must determine their own path of development rather than relay on govt.
 
...hilo class lazima litoe ma-engineer na ma-daktari...kudadadeki!!!!!!
 
Back
Top Bottom