Maisha Bongo

Kifupi ni kuwa sisi wote ni mijizi tu.....

Wanaotuzidi kwenye kukwiba ndio tunawaita mafisadi.

Mapadre wezi, wachungaji majizi, mashehe majizi, maaskofu wezi, masista majizi.......... Yaani wizi mtupu!

Kitu pekee ambacho hakiibi ni BIA.....!

Kaka its not fair kunifanya nicheke hivyo nitake radhi kaka.

Its true mwali hapo ni kwa kujibana haswa bila matarajio.

Me like this post!
Chama cha wanywa beer Tanzania kinawaalika wanywaji wote wa beer kuja kupima afya zao!

Ukipima presure unapt bia moja, ukipima ngoma unapata bia tatu!!

Karibuni Sana weekend hii pale mnazi mmoja

Khaaa! :violin:
 
Na mbado! Umewahi ona ng'ombe jike anarembua, mbado. Kunguru ananuka mudomo je, mbado. Shee, wee kila kitu mbado eh hata kuzaliwa.
Wacha kubisha bisha kitu usichokijua oyaaaah.Unanifundisha ujinga eeeh.
 
Mkuu naona umeamua kumuenzi Mr. Ebbo RIP.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…