Maisha bila mkopo chuo yapoje?

Family background, itakusaidia sana ila kama kwenu ni chungu patamu tia mchuzi usiende
 



U deserve a trophy Bro, real husla ila kama umezaliwa na kukulia Dar I give you much more respect
 
Secondari unakula palepale na hakuna mahitaji mengi shati mbili unavaa miezi sita hauwezi kulinganisha na chuo
Sio kila mtu kasoma sec ya bweni wapo wengine tumesoma day na tumeingia chuo bila mkopo na hadi tumemaliza hatuna deni na serikali.
 
Aseeee mkuu naishi maisha yako tena mimi naenda chuo Kwa gari then kurudi home kwa miguu, pamba narudia sina shobo but lunch napigaga si unajua tena sio unapiga discussion mdomo unanuka njaa na nashukuru Mungu ada iliyobakia nalipa mwenyewe nina selcom machine so harafu ndo kwanza mwaka wa kwanza hivi naisubiri kwa hamu kweli iyo laki 7 nijiimarishe kwenye investment zangu
 
Kama babako anakupa hela yanakuwa mazuri tu
 
Wanabodi naomba mwenye experience ya maisha bila mkopo chuo yapoje ili nipate angalau picha itakuwaje kwa hawa vijana ambao dalili za kukosa mkopo zimekwisha anza kujionesha.
Chonde chonde ndugu yangu,waambie na wenzako pia kwamba kama mkikosa mkopo msitie mguu chuoni!!
Maisha ya chuo ni tofauti sana na ya secondary, chuoni unahitaji fedha za kula, kuvaa, nauli na stationaries kila siku.
Kama wanaopata tu mkopo hizo fedha za mkopo haziwatoshi je kwa ambae hapati???
 
inategemeana na pia chuo kipo mkoa gani, kama ni dar mfano Mlimani, walau unatakiwa uwe na backup (mdhamin/mzazi/ndugu) nzur, ila kama hauna backup na unatokea mkoani jitahid kufanya mchakato wa kupata backup nzur

ila kwa mikoan mfano udom, huwa naona kule maisha sio complex sana, unaweza kuish hata chini ya dola moja kwa siku....

binafsi, nisingepata mkopo nisingeweza kumaliza degree yangu pamoja kuwa mm ni yatima na sikuwa na backup kabisa
 
Mkuu ilo sio la kuulza n mwendo wa kujiongeza tu
 
Wanabodi naomba mwenye experience ya maisha bila mkopo chuo yapoje ili nipate angalau picha itakuwaje kwa hawa vijana ambao dalili za kukosa mkopo zimekwisha anza kujionesha.
kama ni mwanamke basi atauza sana mwili wake maana hamna namna. ila kama ni kidume ata bet, piga job sehemu mbalimbali ajazie ada na vipindi vingi atakosa darasani.
 
umewahi kujiuliza kwanini vyuo vinaongoza kwa umalaya na mario wa kutosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…