Kwahiyo kumbe shilingi mbili likuwa inakutosha?Vyuma haviwezi kukaza paka ukose shilingi mbili za kumoka mzee
Hizo ndo faida za kufilisika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee nimetimiza week now bila kupiga kilevi chochote,
Maisha bila bia yanawezekana..
Namshkuru mungu sana kwa hili,maana ilikuwa hakuna weekend wala weekday,ilikuwa kila siku weekend.
Now jioni napoteza mda na movies tu..
Wakuu tupeane njia za kuacha kabisa hii kitu if ipo.
....
Mkuu huwezi amini nimekaa one week bila kugusa kinywaji,nimejitahidi sana.Kuacha ghafla sio rahisi anza kwa kupunguza idadi za bia unazokunywa
Na kama ulikua unakunywa kila leo kaa baada ya siku mbili kunya kama ulikua unakunywa kwa siku sita anza kupunguza idad ukiweka nia utaweza
Mungu akuwezeshe uweze kuacha kabisa
kama umeweza then shikilia nia yako utafanikiwaMkuu huwezi amini nimekaa one week bila kugusa kinywaji,nimejitahidi sana.
Maana ilikuwa kila siku ni kunywa tu.
Yani bora nisinywe kabisa,maana nikionja moja tu basi ni tatizo
Kwa utawala huu tumejikuta wengi tunamrudia Mungu bar wameshanimiss[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kufilisika kupo ila sio kihivyo mkuu
Hongera sana mkuu,ila ukienda bar kunywa mkuu avoid sana kudrive.Mkubwa mimi nilikuwa nawaka Monday to Monday,kama ijumaa mbili hivi zilizopita nipata ajali mbaya sana ya gari pale kwenye mataa ya Tegeta/Binafsi nilishaona kifo ni Mungu tuu amenitoa kwenye mzinga ule maana nimetoka sina hata mchubuko nilikuwa na vijana wangu wawili wa kazi nao wazima kabisa.Kwa kumshukuru Mungu nimeamua kuachana kabisa na mtungi ni wiki ya pili sijawaka na sijutii kabisa.Nimehisi kuna jambo sijalikamilisha/watoto wadogo sana so nimerudishwa/nimenurika kwaajili ya familia kwa ujumla.So mkubwa kuacha mtungi ni maamuzi binafsi yenye kutoka moyoni......
Hongera sana mkuu,ila ukienda bar kunywa mkuu avoid sana kudrive.
Ni hatari sana mkuu,bora utumie bajaj au tax.
Sometimes unapata tatizo ili mungu akuepushe na matatizo makubwa.
Hongera kwa kuacha pombe aisee