Kashindi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 349
- 250
ilikuwa jana mida yaal saa 10:00 usiku nikiwa chumbani ghafla la mgambo likalia tukajua hapa kuna jambo. Kwa wale waoga tukatoka mapema vyumbani kwenda kusikiliza yanayotokea. "jamani hii ni siku ya pili hakuna umeme, waengi kati yetu wanatest zaidi ya moja wiki hii, mataa hayawaki PC zetu hazina moto hivyo hakuna kusoma si ndo hivyoo?alisikika kijana mmoja aliyeonekana kuwa ndio kiongozi wa mkutano ule wa wanazuoni wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Watu wote wakajibu ndiyoooo. "je sehemu zingine kuna umeme auy haupo?" watu wakajibu upooo. Jamaaa akasema sasa tuishinikize Tansesco itupe umeme haraka sana. Kama vipi twendeni barabarani tukadai umeme. Watu kwa morali ya juu sana wakaijibi ndiyoooo
ghafla wimbo wa Tunataka umeme ukaanza kuelkea barabani . Magari yakasimamishwa nyimbo zikaendelea. Poliai haoo wakaja na magari yao wakiwa wengi huku wengine wenye nyota zao wakitaka kuwasikilaza wanafunzi na madi yao. Foleni ikaongezeka magari yakawa mengi. Wanazuoni wakasema sisi tunachotaka ni umeme tu la sivyo hakieleweki kwanini nis sisi tu tusiona umeme mkuu kuona hivyo akatoa ahadi " jamani tulieni naomben mda wa saa moja umeme utakuwa umerudi wanafunzi waksema ole wako uzichezee akili zetu utatujua kama sisi ni UDSM au vipi. Kweli bwana baada ya nusu saa umeme huoooooo
haaa kumbe Tansco wanafanya makusudi??