Hujamaliza kusoma hapo juu. Nimesema wana miezi tisa.Usije kumpa maini ya kitomoto kwani hayo maini ukija kumpa mwanao anaweza kudhurika na kupatwa na maradhi. Kwani Maini au nyama ya kitomoto hata uchemshe vipi wadudu aka Bacteria wake hawafi wakati wa kula utawala na hao Bacteria wa kitomoto wana sababisha maradhi mwilini mwa binadamu.Usijaribu kumpa hayo Maini ya kitomoto. Mpe maini ya ng'ombe. Na huyo mtoto wako ana muda gani tangu azaliwe?
Hii nimeipenda.Aisee usimpe mtoto maini hujui yale kazi yake kuchuja simu mwilini, wape samaki kwa wingi, nunua samaki wachemshe, wachambue kabisa kusiwe na nwiba hata mmoja then pika mtori wa ndizi bukoba, changanya na huo mchambuko wa samaki za kutosha tia carrots, hoho, vitunguu .. deliciosoooo kwa mtoto
Mtaalam wa afya kashauri lishe ya maini. Asante kwa mawazo yako.Usiwape!
Ni huku bongo sababu ya ufahamu juu ya mambo ya lishe kuwa chini Ndiyo maana utashangaa Eti bei ya maini ya ng’ombe / mbuzi kuwa juu kuliko hata nyama yenyewe!..
Mkuu umefufuka?![emoji15][emoji15][emoji15]
Mimi nachukua viungo adimu vya kitimoto. Maini, moyo, figo na ulimi. Jamaa akichinja tu lazima anipigie kujua Kama nitachukua.
Hapana, hiyo ni nyama pendwa, tunauziwa watu wenye ukaribu na bucha. Mara nyingi maini huliwa na wachinjaji/wafugaji wenyewe.Ni kwa ajili ya dawa au nini......?
Sijawahi kuvisikia hivi viungo kwenye menu pendwa ya huyu mwanambuzi.....