Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 563
- 1,567
1. Chama kikichagua kiongozi Msajili ana uwezo wa kumpitisha au kumkataa, mfano mwenyekiti au Katibu mkuu
.
2. Kwa mfano kipindi kile cha Lowassa kugombea upinzani, kwa kutumia sheria ya sasa msajili angekuwa na uwezo wa kumpitisha Lowassa au kumkataa hata kama Chadema wenyewe wamempitisha. Hata 2020 Chadema wakimsimamisha Lissu CCM kupitia msajili ndio mafinal say watakaompitisha Lissu au kumkataa. That means mgombea yoyote anaekubalika na wananchi na kuonekana ni threat kwa CCM hatopitishwa. Watapitishwa maboya wasio na ushawishi wowote.
.
.
3. Na pia msajili ana uwezo wa kumfuta uanachama mtu wa chama chochote. Kwa mfano Mbowe anaweza kufutwa uanachama na msajili na akifutwa uanachama automatically uongozi wake wa Chadema unakuwa batili. Migogoro ya vyama itaamuliwa na msajili. Kwa mfano issue ya Lipumba na Cuf ataimaliza msajili na akiamua pia anaweza kumuondoa Maalim Seif Cuf kwa kumfuta uanachama. Kina Sugu wanavyomkosoa Magu kuliko kupoteza muda wa kuwafunga msajili anawafuta uanachama mara moja, that means 2020 hawatoweza kugombea. I’m sure mwakani mwishoni na 2020 mwanzoni watu kibao wa CCM pamoja na upinzani watafutwa uanachama ili wasiweze kugombea kupitia chama chochote.
.
.
4. CCM kupitia msajili ndio watakao amua nani agombee ubunge au udiwani kwenye jimbo flani. Kwamfano 2020 hata kama Chadema ikimsimamisha Lema kugombea ubunge Arusha, CCM kupitia msajili wana uwezo wa kumkataa Lema na kumchagua mgombea mwingine.
.
.
6. Na pia Vyama vya upinzani haviwezi tena kujiunga kuwa chama kimoja kama ilivyokuwa UKAWA mpaka waziri ambae ni mwana CCM awape ruhusa ya kufanya hivyo.
.
.
5. Na hakuna upenyo wa kumpeleka msajili au wasaidizi wake mahakamani kama ilivyo sasa. Msajili ndio final say maamuzi yake hayapingiki.
.
.
Mzungu hawezi kutoa msaada kwa nchi kama hii wasisingizie issue ya magay. Kwa kifupi mzee baba kajipa mamlaka ya kukiongoza chama cha CCM na kuviongoza vyama vyote vya upinzani. Sheria hii ikipita and obviously itapita sababu wabunge wa CCM mnawajua then effectively Tanzania will be a dictatorship, Kitakachobaki ni kubadili katiba tu kuongeza muda wa urais. God help us