Maiki ya kutumia kutengeneza tutorials kwenye laptop

Maiki ya kutumia kutengeneza tutorials kwenye laptop

Joined
Sep 30, 2018
Posts
15
Reaction score
5
Hi wadau kwa anayefaham ni maiki ipi itanifaa yenye bei ya kawaida kwa ajili ya kutengeneza tutorials kwenye laptop yangu
 
Kama shida ni kuingiza tu sauti(just sound) tumia hata earphones zle zenye kamaiki..

Otherwise nna boom MIC nauza 120k ni nzr hata ukihitaji kuitumia outdoor kwny upepo mkali inachuja saut vzr sana. Ni suitable kwa DSLR cameras pia..
Txt; 0765961152 nkutumie sample WhatsApp
 
isiwe kubwa sana I mean more than 200k
Blue snowball, sema kuipata hapa Nchini ngumu utahitaji kuagiza nje.
Blue_SNOWBALL_BUNDLE_TW_Snowball_USB_Condenser_Microphone_413696.jpg
 
Back
Top Bottom