You are missing the point somewhere, anachosema Maige ni kupewa adhabu asiyostahili, usikimbilie kumhukumu kuhusu uwaziri tu, try to think twice
Huyo anajaribu kujitetea waliochagua waone hakufanya makosa, anaelezea kuhusu kina Kamran? kwani alikuwa wapi wakati Twiga wanasafirishwa? si hapo hapo wizarani tena naibu waziri. Mbona hajazuia alipokuwa hapo, mpaka siri ilipotoka ndio anajidai yeye aliyewashika? huu ni ufinyu wa mawazo kutoka kwa Maige.
Aliyopewa Maige siyo adhabu, ni kaishindwa wizara na kaondolewa. Adhabu inamngoja atapopandishwa mahakamani na kuonekana ana hatia yoyote ile, kama hafikishwi mahakamani basi ni chachu tu za kazi lakini si adhabu.
Maige katika waraka wake nilisoma sehemu nanukuu! Hata Yesu alihukumiwa japokua waliomuhukumu walijua ni mwana wa Mungu! mwisho wa kunukuu. Sasa Maige anataka kutuambia yeye pia ni Yesu??? Mimi kwamtazamo wangu naona Maige ana Frustration za kuukosa uwaziri angekaa kimya tu! Achukulie mfano kwa kina Basili Mramba wanatuhuma za wizi wa hela za serikali lakini wamekaa kimya! Umechemsha baba!
Kama alivyoshindwa baba mwanaasha
................
Alisema maamuzi yake aliyokuwa akisimamia ndiyo yamemfanya yamfike yaliyotokea. Alisema akiwa wizarani alisimamia sheria na kuwapa vitalu Watanzania maskini wenye sifa na kuwaacha wazungu kama sheria ilivyoelekeza.
.........................
hapo kwenye red usitake nicheke..yani ukiambiwa kula mavi na mkubwa unayala!alichotakiwa kufanya ni kujiuzulu kama anaona wakubwa wanamlazimisha kukiuka maadili ya kazi,alitaka kuwalinda sasa he went down alone..he better go tell that to the marines..Maige nimemuelewa vizuri sana,kuna kitu kimoja wanajamvi tunakisahau hata wewe unapochaguliwa kuongoza sehemu na hauna budi kuongoza kutokana na maelekezo atakayokuwa anakupa.maana ya maige nini kwamba matatizo yote yaliyotokea si yeye yamesababishwa na wakubwa yeye kama yeye hawezi kuzuia matakwa ya wakubwa,ni ukweli ulio wazi kwamba viongozi wengi hawafanyi kazi kwa utashi wao au ujuzu wao.ndio maana tunaludi nyuma kimaendeleo kila kukicha.
sabuni kipande tsh 500/-?kibiriti tsh 100/-?
Maige could be a good Finance Minister
| Salutation | Honourable |
| First Name: | Ezekiel |
| Middle Name: | Magolyo |
| Last Name: | Maige |
| Constituent: | Msalala |
| Political Party: | CCM |
| Office Location: | P.O.Box 9372, Dar Es Salaam |
| Office Phone: | +255 754 779 907/+255 787 309 107 |
| Ext.: | |
| Office Fax: | |
| Office E-mail: | emaige@parliament.go.tz |
| Member Status: | Current Member |
| Date of Birth | 28 March 1970 |
| Chela Primary School | Primary Education | 1980 | 1986 | PRIMARY |
| Arusha Secondary School | O-Level Education | 1987 | 1990 | SECONDARY |
| Shinyanga Secondary School | A-Level Education | 1991 | 1993 | HIGH SCHOOL |
| Institute of Finance Management (IFM) | Advance Diploma in Accountancy | 1994 | 1997 | ADV DIPLOMA |
| Institute of Finance Management (IFM) | Certified Public Accountant (CPA) | 1997 | 1998 | CERTIFICATE |
| Leicester University,(UK) | MSc. ( Finance) | 2001 | 2004 | MASTERS DEGREE |
| Company Name | Position | From Date | To Date |
|---|---|---|---|
| Ministry of Natural Resources and Tourism | Minister | 2010 | |
| The Parliament of Tanzania | Member - Msalala Constituency | 2005 | 2015 |
| British Council | Director of Finance | 2001 | 2005 |
| Ministry of Natural Resources and Tourism | Deputy Minister | 2/13/2008 | 2010 |
| Plan International, Tanzania | Finance Manager | 1999 | 2001 |
| British Petroleum (BP) (T) LTD. | Accountant | 1997 | 1999 |
| Chama Cha Mapinduzi, CCM | Member - District Political Committee | 2005 | 2010 |
| Chama Cha Mapinduzi, CCM | Youth Member | 1988 | 2005 |