MAHUSIANO YA MBALI

Mapenzi gani hayo , nahisi hayo mapenzi yatakua yanapatikana sayari ya Pluto na Jupiter huko, sizani Kama hapa kwetu duniania yapo
 
Tatizo lako unajua kabisa huko hawezi kosa mtu na unamtaka ila ujajisahaulisha ukweli unaujua unataka tu matumaini unacheza gambling....we kwa akili zako huyo mwanaume unataka awe huko bila mtu...kama wewe huku hukazwi sawa labda ila sisi wanaume tunakaza tu pale tulipo we hata ingekuwa mi subiri nirudi bongo ila huko nliko ntawapanga tuu kama kawa ntakuwa nao na si mmoja tu.....
 
huyo mpenzi angekua nihawa watu weupe yaan wazungu.. Inaweza kua kweli yakawepo maana kwao Sex sio kitu muhim.


Ila watu weusi?? Mbongo hata akae ulaya miaka 20 , yeye na sex wataendelea kua mapacha, nahii inaonyesha kua Ngono ni ya muafrika.

Kwa iyo miaka kumi kila mmoja atakua ametafunana namtu mwingine....
 
Hamjawai onana zaidi ya video call Inamaana mmekutana mtandaoni! Mahusiano ya mtandaoni ni bahati nasibu upate au ukose..

Na asilimia kubwa ya wana mtandao wanakuwa wanatafuta mtu kwa ajili ya kupunguza upweke (company) tu ilihali wanaowapenda wapo.
 
Sasa hamjawahi kuonana! Mapenzi gani hayo eti mdada!

Fanya utaratibu muonane, la sivyo amka kwenye huo usingizi!
Tena mwambie aamke asije akakojoa kitandan bure akaharibu godoro na atupe kazi vibarua uku kutengneza godoro lingine kwa mzembe mmoja
 
Mimi hayo mapenzi siyawezi.
Unamsubiria muda wote huo mwisho wa siku kumbe ni mume wa mtu.
Hamjawahi kuonana kwani mlikutana wapi? Fesibuku
?
 
Sasa mnagombana vipi na mko mbali? Kaeni pamoja uone timbwili lake. Binafsi I see nothing in these kind of relation. May be friendship
 
Reactions: BAK
Haraka sana sitisha mahusiano hayo, narudia teeeena acha haraka sana, utajutaaaaa utaliaaaaa ndugu watalia, aiseee ukipuuzia hili ninakwambia kuna siku utanikumbuka.

Utakuwa mwaminifu utamsubiri, atakupotezea muda ,ana Mke alozaaa nae ila hawaishi wote. So sad

Kuna siku utaskia kaja nae bongo, haijalishi wewe utakuwa ushatambulishwa kwao au la!

Kimbia dia, sio watu hao. Inauma.

Hata akija mkaonana usijaribu, utajutraaaaaa
 
Wivu eh! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


 
Hakuna kitu kama hicho... Ten years bila kuonana haiwezekani.... Vibofu vitapasuka ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…