Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,879
- 3,306
Umedukua simu zao ama?Wanatuma msg hawajibiwi, wakijibiwa wanacheleweshwa kwa visingizio lukuki
Simu zao hazipokelewi
Watu wanateseka niaminiPoleni sana wenye mko na toxic mahusiano for the sake of money/ taqo/ pisi kali/ sijui handsame man.
Hapana, nimesema nimesoma nyuzi na ninazungumza na watuUmedukua simu zao ama?
Oooh kumbe Unaongelea wale wa kugonga na kusepa 😂😂Hapana, nimesema nimesoma nyuzi na ninazungumza na watu
They tell me
Inachukiza na kuhuzunisha sana
Ukiwaambia waachane utasikia “ooh tumekaa muda mrefu”
Muda mrefu my ass
Mimi ata asipo jibu siangaiki nae najua wapi nitampata akishikwa na shida na mimi naaza kazi sipokei cm au na block kabisa kwa mudaHii expectation ya kujibiwa message na kupokelewa simu on the spot ndio kiama cha mahusiano mengi.
Mpe mtu space, muwazie mema. Jipe amani ya moyo. Atakurudia muda ambao ni convenient
Ofkoz mkuuOooh kumbe Unaongelea wale wa kugonga na kusepa 😂😂
Team michepuko hizo ndio zao
So mkuu umempa chance ajifunze kukupenda huko mbele kwa mbele asipojifunza siku ukimkuta na anayempenda yeye ukanunue chuma ummwage ubongo siyo?Sasa kwa mfano mimi aliniambia anipendi nikamwambia kuhusu wewe kunipenda mimi haina shida mimi nikikupenda tu inatosha basi kwahio nimejitakia mwenyewe na nimetidhika na hali utaniambia nini nikuelewe
Absolutely na mahusiano yanapaswa kuwa hiviHii expectation ya kujibiwa message na kupokelewa simu on the spot ndio kiama cha mahusiano mengi.
Mpe mtu space, muwazie mema. Jipe amani ya moyo. Atakurudia muda ambao ni convenient
Mkuu kama umekubali hali na hulalamiki hilo halina shidaSasa kwa mfano mimi aliniambia anipendi nikamwambia kuhusu wewe kunipenda mimi haina shida mimi nikikupenda tu inatosha basi kwahio nimejitakia mwenyewe na nimetidhika na hali utaniambia nini nikuelewe
That’s exactly what i am trying to convey hereKila kitu kigumu u can live without them or fucking bitches
Hapohapo mkuu,Daaah yani mtu usiye mpenda ndio anakuganda huyo sim haziishi na message za kutosha na ukimuhitaji anapatikana muda wote, ila sasa unae mpenda ni full mizengwe.
Absolutely ni suala la kuamua tuKila kitu kigumu u can live without them or fucking bitches
Hizo ndoa ndio usiseme mkuuKwenye kila project, kuna wanaofanya vizuri na wanaopoteza. Fuatilia biashara,siasa,mpira na vyoote utagundua. Kikubwa omba Mungu. kisha oa ,usidate. Dating inaashiria huna uvumilivu na yeye hana uvumilivu. Baadaye hata mkioana ukisafiri unakosa kujiamini,na yeye hakuamini huko safarini