Ndondombi Mulin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 791
- 3,522
Anakupenda sana eeeeh, au sio?Jamani naombeni ushauri, kuna mwanamke nampenda sana nae ananipenda sana
Ilaa ww daaaaaa ,yupo jf unamsaidiajeee😅Daaaah!!!! Uko wapi.....
Usimcheke mkuu ww unaweza ona wanawake wapo wengi lkn mwenzio yy anaonaa mwanamke ndio huyoo tuu😅Hivi huwa kwa nini huwa mnang"ang'ania mtu hata panapokuwa na vikwazo? Hilo si ni sababu ya kutofaa? Mbona wanawake wapo kibao
Kwanza mleta mada anaonekana hana pesa.Kakuona fala sana huyo demu.
Eti atatoroka na wewe!
Nakuhakikishia hawezi kutoroka na wewe na ataolewa na huyo jamaa huku wewe bwege mtozeni ukibaki kushangaashangaa.
Na akitoroka na wewe rudi uniite mbwa.
Anatiaa huruma badala ya kutia kibundaa😅Kwanza mleta mada anaonekana hana pesa.
Umeshamaliza niliyotaka kuandika hapa.Kwamba unampenda sana hilo unajua wewe. Kwamba anakupenda sana wewe hilo hujui. Anayejua ni yeye na Muumba wake. Zama zetu si kama zama za zamani. Kulazimishwa kuolewa au kuoa siku hizi si tena jambo linalojitokeza mara kwa mara. Kama ameamua kukubali atangaze uchumba angali yupamoja na wewe basi ujue wewe haumo moyoni mwake. Na si kisingizio cha kulazimishwa na wazazi. Na kabla ya yote, alishawahi kukutambulisha hata kwa wazazi wake au ndugu zake?
Ningekushauri ukae na kujiuliza mara mbili. Utajidanganya mwenyewe...... Tafuta akufaae.
kwa niniHupendwiiiiiiiiiiii
Nashukuru kwa ushauri wako nduguKwamba unampenda sana hilo unajua wewe. Kwamba anakupenda sana wewe hilo hujui. Anayejua ni yeye na Muumba wake. Zama zetu si kama zama za zamani. Kulazimishwa kuolewa au kuoa siku hizi si tena jambo linalojitokeza mara kwa mara. Kama ameamua kukubali atangaze uchumba angali yupamoja na wewe basi ujue wewe haumo moyoni mwake. Na si kisingizio cha kulazimishwa na wazazi. Na kabla ya yote, alishawahi kukutambulisha hata kwa wazazi wake au ndugu zake?
Ningekushauri ukae na kujiuliza mara mbili. Utajidanganya mwenyewe...... Tafuta akufaae.
Nipo Dar es salaamDaaaah!!!! Uko wapi.....