Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,414
- 64,648
Maisha haya ni kujifunza mkuuUmetisha. Kwanza waje.
Hizo sio gharama ni matumizi ya kawaidaGharama za kutuma na ya kutolea utazibeba wewe
Sasa ni wangapi wanavitekeleza hivyo viapo?Leo umeandika kakitu.
Ndio maana mnakula kiapo cha kwenye shida na raha.
ha ha ha kwa nini mkuu?Aisee! Unaweza kupata tingishiko la ubongo kama hujawa makini
Naelewa ndio maana sometime natamani huyu mama mtoto wangu aniombe talaka lakini wapi!ha ha ha kwa nini mkuu?
Inabidi uibebe hiyo gharamaNaelewa ndio maana sometime natamani huyu mama mtoto wangu aniombe talaka lakini wapi!
Ndio kwanza haoneshi hata dalili ya kukwaruzana na mimi