sweetlady umelimwa ban au imekuwaje? halafu mods mambo gani haya system inakubali majina yanayofanana hata kama katikati kuna space.....
Back to
sweet lady,
utamdawazi na mmomonyoka wa maadili unachangia, siku hizi watoto toka primary wanajua kusex, mtoto wa miaka 4 anajuaa mama anazaa wakati enzi zile unaambiwa watoto wanaokotwa....
Pia mijanaume mibazazi imezidi inaenda kulaghai watoto hadi wa primary....
Bila kusahau wazazi wa siku hizi mmezidi uzungu, enzi zetu mtu mzima yoyote ni mzazi, akikufuma vichochoroni na janaume au akiwakuta vijana wamekumbatia uchochoroni unaweza kuwaadhibu sasa hivi thubutu kuadhibu mtoto wa mtu uone.....
Wazazi pia hawana muda wa kukaa na kuzungumza na watoto, na malezi wameachiwa housegirls
nk
nk
nk