Usagaji nalo neno- so far studies zilizofanyika zimeangalia tu HIV transmission kati ya heterosexuals na wale Men having sex with men (ukiachilia mbali drug users) sijasikia lolote juu ya wasagaji- to what extend and how wanawezakuambukizana- mwenye information naomba anijuze!