Mahusiano na mawasiliano

Kuwa Makini Best Kupigiwa cmu kila wakati ni ishara ya kutaka kujua ulipo ili afanye yake.. Shtuka best

mm hat mwenz usipo piga ni sawa. siku ukijiskia ukitext mambo yanaendeleaaa.
muhimu kuniambia unanipenda na ukadhibitisha bs vingine utajuwa mwenyew
 
mm hat mwenz usipo piga ni sawa. siku ukijiskia ukitext mambo yanaendeleaaa.
muhimu kuniambia unanipenda na ukadhibitisha bs vingine utajuwa mwenyew
Aisee nimejikuta nikivutiwa na kauli zako.. Hakika unaushujaa wa kipekee
 
mm hat mwenz usipo piga ni sawa. siku ukijiskia ukitext mambo yanaendeleaaa.
muhimu kuniambia unanipenda na ukadhibitisha bs vingine utajuwa mwenyew
Kwahiyo hata kama anagegeda pembeni kwako ni burudani kisa anasema anakupenda?
 
Kwahiyo hata kama anagegeda pembeni kwako ni burudani kisa anasema anakupenda?

ya ili mrad tu asisahau maaan tupo mbali . skiza nyimbo ya august alsina kiss on my tatooo utanielew ili kuwag mwanzo nikawa nazingua so tunagomban ndio mwanzo yey wakucheat il ilifik mda anarud anssem siwez kuachan na ww so nishazoe coz ikiwa hvy kungangania ni ugovina kujiwrkea stress za kijingaaa
 
Kwa maneno yako haya jiandae kwa kuuguza magonjwa... Yaani aende Akapige show za ugenini Harafu Akirudi ww unampokea? Aisee natamani kama ningekufahamu Hivi
 
Kwa maneno yako haya jiandae kwa kuuguza magonjwa... Yaani aende Akapige show za ugenini Harafu Akirudi ww unampokea? Aisee natamani kama ningekufahamu Hivi

hahah sas mm nayey, hatutak tuzoeane keshasem nikikuzoea sitokuoa so nikija kutoa posa ndio tutafanya kil kitu so siunajuwa kabla yw ndoa kuna kipimoo wew so ndio maaan nipo km sipo katik relation maan nakuwa happy kulik mwanaume anaependa show kil wakat chefuu alafu anaoa mwanamke mwingine upo hahah . utanijuwag tu ucjl
 
Nimelipenda hilo la show kila wakati Hivi Hata kama atakuja kukutolea Posa Una Uhakika kwamba ataacha mipango ya kando? Ogopa sana mwanaume anayeogopa kukuzoea Harafu Eti anataka aje akuoe!!! Sasa hiyo ndoa utakuwaje maana lazima mzoeane... na ikashakuzoea basi nje kama kawa
 
hawez nje coz naelwa why inatokea hvy so wew unizoeee tu ten mkiwa karibu ooh njoo tukutane chefuuu. bora uwe mbali nafurah no,mazoea wew mkizoean san,hmn mtu mwisho wasiku hamfiki mbali usiombe mkafikia climax daah hpo no why out. skiza nyimbo.ya usher climax utaelew kwanin msipend mzoean mpk mfikie huko eeeh upo
 
wewe bwana kuwa mpole akikupenda ataona iko sababu yakutulia
 
Kwani kabla ya simu watu hawakupendana?????????????

WATANZANIA MNAPENDA KU-COMPLICATE MAMBO
 
Kwani kabla ya simu watu hawakupendana?????????????

WATANZANIA MNAPENDA KU-COMPLICATE MAMBO

Ushasema kabla ya simu!! Sasa sio kabla ya simu, angalia nyakati ndugu.
 
kupigiana visimu sio kupendana au ndio kuonyesha mapenzi ya dhati kwa unaempenda kikubwa ni kujitambua ,heshima , na kujua dhamani ya mwenzi wako bila kusahau tabia ya mtu wako .watu wengine hawana mazoea hayo et kila muda Bby Bby Bby loooh! hakuna kazi nyingine za kufanya .
 
Maisha yenyewe ya kufukuzana, ukae unapiga simu kila dakika.

NI UJINGA MTUPU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…