Mahusiano na mawasiliano

Af ndo mko mkoa na mkoa mnapitisha 3 days hamjawasliana

Mhh kuna uchumba hapo
 
Uchumba wa kutowasiliana siku nzima ni kudanganyana,hamna uchumba wala nn.
 
Nipe no yako nikupigie asubuh mchana na jion kila siku lakini sio wapenz wala wachumba.
 


sio wote.......wengine hizo ni kero mara dufu..........
 
Sasa simu kila saa kama uko call center? Hiyo hofu ya kutokupigiwa simu kila muda ni insecurity, kama mtu anakupenda ni anakupenda tu. Na kama hakupendi ana buy time na kukupigia kila saa ndio unaridhika?
 
Mkuu yaan hapo huwa nikuwekwa pending ikitokea dharula kakosa atakacho anakujia means unakuwa wa dharula, it pains.
Inakua hvo af unaskia at anakwambia anakupenda
 
Hakuna kitu hapo! Utaendelea kuwa pending dharula ikitokea utaitwa, much pains kwakweli.
Af ndo mko mkoa na mkoa mnapitisha 3 days hamjawasliana

Mhh kuna uchumba hapo
 
Haifai hivyo, kuna uwezekano mkubwa sn wa mmoja wapo kuchepuka kirahic..!!
 
Hii mada imeniuma ngoja nipite kule.
 
nyie wanawake/wadada kupigiwa simu sana na mwanaume/mchumba haimaanish et anakupenda sana na kutopigiwa haimaanish hakupend sana.

kuwa makin na mwanaume anaepiga sana simu,,,,wengine akiwasiliana na mchepuko ile kabla hajaingia kwenye mechi anakupigia mnaongea dk kadhaa anakuaga anaingia kwa mchepuko,akitoka hapo atazuga kwa kukupigia tena!!

binafsi siku nikimpigia sana simu mpenz wangu basi ndo siku ntakayochepuka,sasa ili kumchanganya na kumtoa focus nampigia simu za hapa na pale....

kueni makin ooohhooo
 
Hakuna uchumba wala upenzi wakupitisha siku nzima bila mawasiliano yoyote!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…