Kula huyo tena Oa haraka iwezekanavyo. Hamna hata chembe ya damu mnayohusiana.Habari wa ndugu, Heri ya mwaka mpya natumaini wazima ,
Nimekuja na hii mada sio kwa lengo la kujisifia au kutangaza dhambi ya zinaa ninazofanya nimekuja na huu uzi sababu nahitaji ushauri pengine msaada wa kimawazo maana nahisi sio kawaida
Nisikuchoshe nipunguze maneno ni hivi kipindi nipo sekondari mama aliachana na baba baada ya kipindi kupita akaolewa tena na huyo mume aliyemuoa alikuwa ana binti yake alizaa na mwanamke mwengine mimi na mama wote tuliamia kwenye familia hiyo ambapo ni baba anaishi na binti yake makamu yangu hata kidato tulikuwa kimoja, Sasa sijui kuishi ndugu wawili wakike na wakiume wasio wa damu inachangia au shetani au ni tamaa zetu mbovu tulijikuta mimi na huyo binti ambaye ni dada yangu wa kambo tunaingia kwenye mchezo mchafu.
Tulifanya kwa siri . Kipindi wazazi walikuwa hawapo tulikuwa tunafanya mapenzi sana saa nyingine binti ananyata usiku anakuja chumbani kwangu saa nyengine naenda chumbani kwake saa nyengine sebuleni ikawa ndio michezo yetu mpka tukanogewa tukajikuta tunapendana maana hizi constant casual sex na mtu mmoja lazima mcatch feelings . So ikaenda ikaenda ye akapata mahusiano mapya na mimi pia lakini bado roho zetu hazikuridhika ilibidi dada yangu aachane na mtu wake na alikuwa na wivu na mimi na hakutaka kujihusisha na mahusiano ikafikia kipindi nikaenda chuo na yeye mkoa tofauti bado tukawa tunafatana kitendo cha mimi na yeye kuwa mbali kinatuumiza moyo in short tunapendana sana
Mama yangu hakufanikiwa kuzaa na huyo baba wa kambo na walikuja kuachana lakini sisi hatukuacha mawasiliano na mahusiano wote tumekuwa na mahusiano na watu mbalimbali lakini tumeshindwa maana kila mmoja moyo wake yupo kwa mwenzake .sasa tunajitegemea kila mtu yupo kwake lakini tumeshindwa kuachana
Natamani kumuoa lakini alikuwa dada yangu wa kambo na tayari baba yake alishaachana na mama yangu natamani tusipendane lakini tunashindwa , mahusiano yetu ya siri toka tuna miaka 17 na sasa ni watu wazima jamii itanichukuliaje ikijua ?nifanye nini nimsahau? nimchukie au pengine tunahitaji msaada wa kisaikolojia hata sielewi maana wote tulipanga tuachane lakini imeshindikana sometimes najuta kwa nini nilikutana naye au kwa nini mama yangu alikubali kuolewa na baba yake .
Natamani nimkimbie nibadili mawasiliano lakini atafanya juu atanipata saa nyengine nashindwa kujificha kuna kipindi tuliachana tulishindwa maana tulikuwa katika hali mbaya sana kiufupi tunapendana sana na tunatamani uhusiano wetu uwe wazi tuoane lakini ndio hivyo sio sawa katika jamii.
Ni hayo tu samahani kwa ambao bandiko hili litawakwaza
Huyo huna undugu naye, na uzuri baba yako na mama yako walishaachana. Mimi nakushauri umuoe.Habari wa ndugu, Heri ya mwaka mpya natumaini wazima ,

Nakutafuta njoo chimboMmh!
Ni sawa na kulala na baba yako mzazi. LAANAHabari wa ndugu, Heri ya mwaka mpya natumaini wazima ,

Kuita sio undugu, kwani hapo mtaani kwako wote wanaokuita kaka ni ndugu zako?Huyo mdogo wao angezaliwa atawaita dada na kaka? au mashemeji? au
Anyway kila mmoja ana maamuzi yake mkuu...
Kidini? Kivipi na mlishabanduanaNdio.
Lakini kidini ni ndugu yangu
Naam mrembo Leejay😘Mariposa
Pouwa za kwako?Naam mrembo Leejay😘
Oa kakaHata kama mahusiano yetu yataumiza watu wetu wa karibu ? Hata kama nitaenda kinyume na dini na miiko ya kijamii ?
Ngoja tuone
Kwahyo ukilelewa na binamu yako nyumba Moja huruhusiwi kuoa?eti Kwa sababu umelelewa na shangazi au mjomba wako?Hilo suala wazazi wenu hawatakuwa tayari.
Baba wa huyo dada yako alikulea kama mtoto wake, namama yako akamlea huyo binti kama mwanae, hii mnaleta aibu kwa wazazi wenu na jamii nzima.
Usije kushangaa wazazi wakawalaani mkijifanya mnapendana sana na kutowasikiliza.
Kama mtaendelea kulana kimasikhara endeleeni ila suala la kuoa, utamfanya mama yako akuone ni mtoto mjinga na huna akili.
Nasaba ipi wakati baba wa kambo amekuja toka alipotoka na watoto ambao hata mama zao huwajuwi?Mtoto wa shangazi hauna nasaba nae,maana ye amezaliwa na koo ya baba mwingine,nadhani nasaba ipo kwa baba.
Mleta mada sio mimi mkuu,mimi sheikh sio mpenzi wa "kNasaba ipi wakati baba wa kambo amekuja toka alipotoka na watoto ambao hata mama zao huwajuwi?
Piga hyo kitu mkuu wacha woga aisee
Huyu ambaye baba yake alimuoa mama na hawakupata watoto na wakaachana na mtu na binamu yake nani ndugu hapo?Ni undugu kidini , kitamaduni kiongozi
Hili linajulikana tu.
Huyo kibaiolojia hafai kuzaa naye, ni nduguyo wa damu.Kama Mimi Na Binamu Wangu Wa Kike Ni Bilingebilinge Si Poa